Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Ndio ninazo kila kitu hadi email ninayoIMEI number zake unazikumbukuka?
Asante kkNenda kwa mganga huko Bumbui
Haya kiongozPole Sana utaipata mkuu
Nipo Bumbuli, Lushoto nimeangusha simu yangu kwenye gari ya Noah ilikuwa charge imezima kama mnavyojua Samsung S serieos chaji ni shida
Naombeni ushauri na weza kuitrack kwa IMEI yake au kama kuna kuna mtu anaweza nisaidia kuipata hii simu naomba anai PM
Nenda polisi kafungue loss report ukiwa na IMEI number yako,Ndio ninazo kila kitu hadi email ninayo
Sawa nduguNenda polisi kafungue loss report ukiwa na IMEI number yako,
wanasaidia siku hizi,Kwa Imei number inatraciwa popote pale,
Inaweza chukua muda,ila ufuatiliaji wako,utaipata
Nipo Bumbuli, Lushoto nimeangusha simu yangu kwenye gari ya Noah ilikuwa charge imezima kama mnavyojua Samsung S serieos chaji ni shida
Naombeni ushauri na weza kuitrack kwa IMEI yake au kama kuna kuna mtu anaweza nisaidia kuipata hii simu naomba anai PM
Serial namba ndio zipi mkuuAu kama una serial number za simu
Nimekuelewa kiongozMi niliibiwa samsung a50 yangu. Kutrack kwa imei ni polisi tu wanaweza (wanawasaliana na TCRA). Unalipia 150,000. Mi sikufanya hvyo niliona nitapoteza 150,000 nyingine pia sababu jamaa wanazungusha sana.
Ushauri wangu ni kufungua tu report police upate RB no. incase ukikutana nayo kwa mtu. Ila tafta hela tu ununue simu nyingine jomba.
Tatzo nipo huku vijijin hatarFungua loss report then nenda polisi kitengo cha cyber crime kuna wahusika wa ku track. Hela ya mafuta si chini ya 50k