Msaada wa kutafsiri ndoto.

Msaada wa kutafsiri ndoto.

Honey pie

Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
33
Reaction score
30
Natumai mpo wazima kama kuna ambaye sio mzima Mungu amponye. Jaman mara nyingi huwa naota ndoto naokota hela na huwa naokota nyingi kweli na hata tukiwa wengi mimi huwa naokota nyingi kuliko wenzangu.Naomba kwa anayejua tafsiri ya ndoto hii sababu inajirudia mara kwa mara..Asantee
 
Back
Top Bottom