Uncertainty
Member
- Jan 23, 2012
- 70
- 27
Ok kumbe advance hukuenda ulizingua mkuuMatokeo form six yapo je ...???????
Hapana sikwenda kabisa niliamini Mawazo ya Baba MdogoOk kumbe advance hukuenda ulizingua mkuu
Si kunasponsor braza apo KIU wanakulipia percentage fulani ya Ada kama hujajua nitafute nikueleweshe afu na mm niko apo [emoji809][emoji809][emoji742][emoji742][emoji742][emoji809][emoji809]Habari zenu natumai mko salama.....
Ninaomba kwenda kwenye lengo la Uzi huu
Mimi ni kijana yatima (wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo) kutokea mkoa wa Mwanza, kwasasa ninasoma chuo kikuu cha Kampala nikichukua stashahada ya Utabibu
Historia yangu in kuwa mwaka 2011 nikiishi na baba mdogo nilimaliza kidato cha NNE na kufanikiwa kupata Division II na kuchaguliwa masomo ya EGM shule ya Sengerema, kwakua nilikuwa naishi kwa baba Mdogo alinishauri nisiende nisubiri atanipeleka chuo moja kwa moja, sikupinga ila alishindwa kutekeleza ahadi yake , mwaka ukapita nikaomba masomo ya stashahada ya udaktari chuo cha Kolandoto lakini alishindwa kunigharamia hivyo nikakaa tena mwaka mwingine nyumbani.
Mwaka uliofuata nikaomba tena chuo kupitia NACTE nikachaguliwa chuo cha Afya NKINGA bahati nzuri shemeji yangu akaamua kunisaidia nikasoma mpaka mwaka wa pili shemeji akakwama katika gharama za masomo hivyo nikarudi nyumbani.
Sikukata tamaa nikakaa mwaka mmoja nyumbani mwaka Jana nikaomba chuo cha KIU nikapata nafasi ikiwa na uhakika toka kwa shemeji kuwa atanisaidia kwa kila kitu akanisaidia laki 3 (300,000) bahati mbaya biashara aliyokuwa anategemea ya kuuza Ng'ombe ikakwama baada ya ngombe wake wote kukamatwa porini, hivyo nikaaamua kutafuta msaada katika mashirika mbali mbali na watu binafsi nikakwama, ila nilikuwa na akiba ya 400,000 niliyopata baada ya kufanya vibarua mbalimbali .Nikalipia chuo (545,000/=)na gharama kidogo za matumizi binafsi ikaisha
Ila kwasababu sikumaliza gharama ya ada sikuruhiwa kufanya mitihani ya CAT ONE(Continuous Assessment) na sasa nimekwama kabisa na wiki ijayo mitihani ya CAT 2 inaanza na ada kiasi kinachohitajika sijapata.
Kwa Huruma yenu ninaomba kwa yeyote atakaeguswa anisaidie kiasi cha 550,000/= zilizobaki kwa semester hii ili niweze kufanya mtihani ama amPM huyu alietuma post hii kupata maelezo zaidi
Mchanganuo wa Ada
Kiasi kinachohitajika kwa semester ni 1,095,000/=
Nimefanikiwa kulipa 545,000/=
Nadaiwa 550,000/=
Ataekuwa na uwezo wa kunisaidia atume hela kiasi chochote kwenye akaunti za chuo zifuatazo na anitumie PM slip
1. CRDB AC No 01J1098093700
2. UBA AC No 56010030000610
3. KCBA AC No 240603599
Nimepost kwa niaba ya kijana huyo..
Hakuenda advance amesemaMatokeo form six yapo je ...???????

Ameshindwa kufanya mtihani au umeshindwa wewe? Si ulipost kwa niaba wewe?Dah nimeshindwa kufanya mitihani imeanza Leo [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Hapo juu ulisema kwamba umepost kwa niaba ya mtu mwingineHabari zenu natumai mko salama.....
Ninaomba kwenda kwenye lengo la Uzi huu
Mimi ni kijana yatima (wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo) kutokea mkoa wa Mwanza, kwasasa ninasoma chuo kikuu cha Kampala nikichukua stashahada ya Utabibu
Historia yangu in kuwa mwaka 2011 nikiishi na baba mdogo nilimaliza kidato cha NNE na kufanikiwa kupata Division II na kuchaguliwa masomo ya EGM shule ya Sengerema, kwakua nilikuwa naishi kwa baba Mdogo alinishauri nisiende nisubiri atanipeleka chuo moja kwa moja, sikupinga ila alishindwa kutekeleza ahadi yake , mwaka ukapita nikaomba masomo ya stashahada ya udaktari chuo cha Kolandoto lakini alishindwa kunigharamia hivyo nikakaa tena mwaka mwingine nyumbani.
Mwaka uliofuata nikaomba tena chuo kupitia NACTE nikachaguliwa chuo cha Afya NKINGA bahati nzuri shemeji yangu akaamua kunisaidia nikasoma mpaka mwaka wa pili shemeji akakwama katika gharama za masomo hivyo nikarudi nyumbani.
Sikukata tamaa nikakaa mwaka mmoja nyumbani mwaka Jana nikaomba chuo cha KIU nikapata nafasi ikiwa na uhakika toka kwa shemeji kuwa atanisaidia kwa kila kitu akanisaidia laki 3 (300,000) bahati mbaya biashara aliyokuwa anategemea ya kuuza Ng'ombe ikakwama baada ya ngombe wake wote kukamatwa porini, hivyo nikaaamua kutafuta msaada katika mashirika mbali mbali na watu binafsi nikakwama, ila nilikuwa na akiba ya 400,000 niliyopata baada ya kufanya vibarua mbalimbali .Nikalipia chuo (545,000/=)na gharama kidogo za matumizi binafsi ikaisha
Ila kwasababu sikumaliza gharama ya ada sikuruhiwa kufanya mitihani ya CAT ONE(Continuous Assessment) na sasa nimekwama kabisa na wiki ijayo mitihani ya CAT 2 inaanza na ada kiasi kinachohitajika sijapata.
Kwa Huruma yenu ninaomba kwa yeyote atakaeguswa anisaidie kiasi cha 550,000/= zilizobaki kwa semester hii ili niweze kufanya mtihani ama amPM huyu alietuma post hii kupata maelezo zaidi
Mchanganuo wa Ada
Kiasi kinachohitajika kwa semester ni 1,095,000/=
Nimefanikiwa kulipa 545,000/=
Nadaiwa 550,000/=
Ataekuwa na uwezo wa kunisaidia atume hela kiasi chochote kwenye akaunti za chuo zifuatazo na anitumie PM slip
1. CRDB AC No 01J1098093700
2. UBA AC No 56010030000610
3. KCBA AC No 240603599
Nimepost kwa niaba ya kijana huyo..
Matokeo form six yapo je ...???????
Ok kumbe advance hukuenda ulizingua mkuu
Hapo juu unajibu kwamba ni wewe na uniamini mawazo ya baba yako mdogo.Hapana sikwenda kabisa niliamini Mawazo ya Baba Mdogo
Hapa naona una lala mika kwa kushindwa kufanya mtihani leo wakati wakati post yako ya kwanza ulisema umeandika thread kwa niaba ya mwingine.Dah nimeshindwa kufanya mitihani imeanza Leo [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Yote nayo post ni kwa niaba yakeHapo juu ulisema kwamba umepost kwa niaba ya mtu mwingine
Hapo juu unajibu kwamba ni wewe na uniamini mawazo ya baba yako mdogo.
Hapa naona una lala mika kwa kushindwa kufanya mtihani leo wakati wakati post yako ya kwanza ulisema umeandika thread kwa niaba ya mwingine.
Over!Admission letter za UDOM
Naomba niishie hapa....
Pole sana mkuu....Mods naomba muufute Uzi huu please