Fanya hivi ingia email yako attarch hivo vitu alafu kwenye Subject waweza andika tu My,pictures & Music or heading yeyote ambao itakuwa rahisi kuikumbuka kwa upande wako alafu pale kwenye kutuma andika email yako yako tuma.ikiwa na maana hapa unajitumia vitu vyako mwenyewe hivo havitopotea kamwe ni njia ambayo mimi naitumia au unaweza ukawa una save katika cloud storage mfano Onedrive app,google drive na nyingine nyingi hizi cha umuhimu ukumbuke password na email yako maana hata simu ikiibiwa bado vitu vyako vya muhimu utavipata