Pole sana kuna software za bure kabisa lkn huwezi rudisha faili zote zilizopotea lkn kwa asilimia 60% utarejesha nakushauri utumie #I care data recovery # Au kama unaweza ulipie nikupe hii tools nzuri kbs lkn itakuomba key itabidi ufanye malipo nikutumie key text zake na uweze kuanza kurudisha zote kwa pamoja zitarudi link hii hapa kama utaweza fanya malipo
MEGA , lakini kama unataka software za bure ujaribu kurejesha lkn sina imani nazo kivile anza na hii
https://www.icare-recovery.com/down/icarefree.exe
ukiona imekushinda pakua hiyo link namba moja ndo uje ufanye malipo PM nitakupa keys