Msaada wa kurudisha akaunti ya Facebook

Msaada wa kurudisha akaunti ya Facebook

Ta Castor

Member
Joined
Jul 7, 2012
Posts
78
Reaction score
38
Nimedukuliwa facebook account yangu na kubadilishiwa email na password na mtu nisiyemjua, siwezi tena ku-login kwenye account yangu, kaondoa email yangu kaweka yake na kubadilisha password, MSAADA PLEASE mwenye kufahamu namna ya kurudisha.

View attachment 2675508
 
Tatizo mna TAMAA na vitu vya mtandaoni
Kama hujapigwa na DEMU aliyejifanya mzungu kwa picha kali
Basi itakuwa ni zile mishe za. kudownload pesa mtandaoni
 
Pole sana naona nyavu ilinasa mtu 😀
 
Back
Top Bottom