Msaada wa kurecovery memory

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Jamaani nilikua na memory yangu nzuri 8gb safi huu ulikua ni mwaka watatu katika kunitumia Sasa siku nikaona kwanini ni format as internal za katika harakati za hapa na pale Siku nililazimika kutoa battery.

Na nilipo rudisha ikanipa option mbili ya kwanza siikumbuki but yapili ilikua ni forget it mm nikajua tu inavisahau vitu vilivyokuwemo Zen naanza na upya. Kumbe ndio Kama jaribu kujetenga nayo kabisa. Hivyo kwa Sasa haisomi Tena je Kuna namna yakuweza kuifufua
 
Download icare software kwa PC, tumia card reader then restore
 
Umeirudisha kwenye kifaa ambacho kimeformat kama internal? Je internal storage haijaongezeka?
 
Umeirudisha kwenye kifaa ambacho kimeformat kama internal? Je internal storage haijaongezeka?
baaada ya ku touch forget iliandika you will not be able to backup you file forever then kuanzia hapo haikusoma kabisa japo mwanzo niliiformat nikawa naweka app fresh tu. Tatizo ilianza baada ya simu kuzima na ndipo amuamua kutoa battery. Na mpaka sasa bado ninayo ipo kwenye simu but haisomi chochote
 
Wakuu ...kuana zile memo unanunua znakua na ukubwa fulan alafu znakua znagoma kuingza files .......mfano nilinunua memo 32gb. But ilkua inaingza nyimbo 10 ....af video hazi play ..inakua tatzo nn
 
Haisomi kwamba haionekani hata kuonekana manake zingine ziki-corrupt hata kuziona huzioni japokuwa zipo kwa simu au unamaanisha inasoma lakini vitu vyako huvioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…