ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 384
- 298
Nijulishe ndugu, ni njia ipi hiyo?Inawezekana ila njia hiyo pia inahitaji hela sio bure
InawezekanaNdugu zangu wana JF,
Hivi inawezekana ukampigia mtu simu kwa njia ya internet ikiwa yeye hatumii simu yenye uwezo wa internet ila ya kwako inayo? Simu yangu haina dakika ila ina MB nyingi tu!
Almost service zote za kupiga simu kwa internet za zamani zina option ya kupigia namba za simu kama vile skype, nimbuzz kama alivyotaja mdau hapo juu, mig33, etc mfano kama hio skype ina skype credit kama vile mtandao wa simu, unajaza credit then unapiga namba ya kawaida ya simuNijulishe ndugu, ni njia ipi hiyo?
Ok, ndugu. Naomba unifafanulie vizuri kama ntainstall hiyo skype au nimbuzz itatakiwa niweke salio kwenye akaunti yao au ntapiga tu kwa kutumia MB?Almost service zote za kupiga simu kwa internet za zamani zina option ya kupigia namba za simu kama vile skype, nimbuzz kama alivyotaja mdau hapo juu, mig33, etc mfano kama hio skype ina skype credit kama vile mtandao wa simu, unajaza credit then unapiga namba ya kawaida ya simu
Ok, ndugu. Naomba unifafanulie vizuri kama ntainstall hiyo skype au nimbuzz itatakiwa niweke salio kwenye akaunti yao au ntapiga tu kwa kutumia MB?
Asante sana chief kwa msaada wako, but vipi kuhusu calling whatsapp to whatsapp!! Mana nikipiga au nikipigiwa whatsapp na nnapojaribu kupokea huwa haitaki na hata huyo nimpigiae huwa hivyo hivyo. Na je ipi ni app nzuri ya kupiga online video calls kati ya hizi skype, imo, tango na nyenginezo. Ipi ambayo itakuwa fasta katika tecno m3 yangu?Skype kwenda skype unapiga na MB, skype kwenda mtandao mwingine utahitaji mb na credit vyote viwili.
Mkuu kwa voice call skype ndio best ila zipo alternative kama viber, imo, voxox, voca, nimbuzz etc test moja moja uangalie ipi itakufaaAsante sana chief kwa msaada wako, but vipi kuhusu calling whatsapp to whatsapp!! Mana nikipiga au nikipigiwa whatsapp na nnapojaribu kupokea huwa haitaki na hata huyo nimpigiae huwa hivyo hivyo. Na je ipi ni app nzuri ya kupiga online video calls kati ya hizi skype, imo, tango na nyenginezo. Ipi ambayo itakuwa fasta katika tecno m3 yangu?
Install Skype recharge account, hapo utaweza kupiga simu kupitia InternetNijulishe ndugu, ni njia ipi hiyo?
Kuna jamaa kampuni yao inaitwa SMILE, huduma zao ni nzuri sana. Me nimenunua kifaa Chao (router) huko nanunua packages za internet (GBs&MBs) tu. Nikitaka kupiga cmu bila kutumia salio la kawaida napiga tu kwa mtu yoyote hata mwenye simu ya tochi. Tena namba inayoita kwa nimpigiaye, ni nyingine ambayo wao wanakupa na inakuwa connected kwako. Ila ukizima data mtu akiipiga hyo namba huwa haipatikani mpaka data ziwe on.Ndugu zangu wana JF,
Hivi inawezekana ukampigia mtu simu kwa njia ya internet ikiwa yeye hatumii simu yenye uwezo wa internet ila ya kwako inayo? Simu yangu haina dakika ila ina MB nyingi tu!
Asante ndugu. Ila sasa ntaipataje iyo smile??Kuna jamaa kampuni yao inaitwa SMILE, huduma zao ni nzuri sana. Me nimenunua kifaa Chao (router) huko nanunua packages za internet (GBs&MBs) tu. Nikitaka kupiga cmu bila kutumia salio la kawaida napiga tu kwa mtu yoyote hata mwenye simu ya tochi. Tena namba inayoita kwa nimpigiaye, ni nyingine ambayo wao wanakupa na inakuwa connected kwako. Ila ukizima data mtu akiipiga hyo namba huwa haipatikani mpaka data ziwe on.
Niko Dar es Salaam, na zinapatkana kwa bei gani?Wana office zao sehemu mbali mbali. We upo mkoa gani?
Zipo za sh 120,000/= na 149,000/= me natumia hyo ya 149,000/=. Wana package nyingi za siku, wiki na mwezi, na package zao ni unlimited. Hyo moja mnaweza kutumia kwa pamoja (Internet) watu saba, na hio nyingine watu kumi.Niko Dar es Salaam, na zinapatkana kwa bei gani?