mrsleo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,588 Reaction score 3,886 Dec 20, 2016 #1 Wapendwa kuna uwimbo unaitwa NIMEPATA SALAMA, umeimbwa na dada mmoja kutoka Kenya anaitwa HULDA VAGEN mwenye kuujua au mwenye nao naomba saaaana anipatie, naupenda mmmmno nimejaribu sana kuusaka kwenye mtandao sijafanikiwa kuupata
Wapendwa kuna uwimbo unaitwa NIMEPATA SALAMA, umeimbwa na dada mmoja kutoka Kenya anaitwa HULDA VAGEN mwenye kuujua au mwenye nao naomba saaaana anipatie, naupenda mmmmno nimejaribu sana kuusaka kwenye mtandao sijafanikiwa kuupata
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,369 Dec 25, 2016 #2 unahitaji video au audio
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,268 Aug 4, 2017 #3 mimi pia mpaka leo natafuta saana nimepata salama ambayo dunia haikunipa!
mrsleo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,588 Reaction score 3,886 Dec 15, 2017 Thread starter #4 ISLETS said: unahitaji video au audio Click to expand... kama una audio itanifaa zaidi