Nakubaliana na Lusungo,kwa masomo yako tuition itakulipa kama utapata center ya kueleweka,lakini pia kwa masomo yako ni rahisi kupata Shule ukajitolea then unakuwa unalipwa,nafikiri wanaanzia 100,000 kwa mwezi kwa Shule za Serikali,ila Wilayani inakuwa rahisi kuliko Manispaa kama Moro!