MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
Lala kwanza urudi kesho
umezipataWasalaam ndugu zangu.
Samahani nilikuwa ninashida na badhi ya nyimbo na mtandaoni nimetafuta sana lakini nimeishia kusikila kwenye East African Tube.
Nyingine nikizipata kiwango cha sauti kinakuwa cha chini sana.
Hata kwa pesa mimi nitazilipia.
1. Norichiko- Nimemfukuza
2. Q Chillah- huwa unasema macho yalinidanganya (nakumbuka kiitikio tu)
3. Dr Leader- Msambaa
4. Stan boy- Sweet girl na nyimbo zake nyingine.
umezipata
TID ft FA _ Rahisa mtoto wa kimombasa.Hivi ile nyimbo, monalisa mpenzi njoo yumo fa n.k ni ya nani?
pita hapa Norichiko - NimemfukuzaSijazipata mkuu.
aminiaThanks bro, Bless you much!
πππππ