Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Kwann usitumie voda hio hio, kwamaana kama ya halo ni 4g na umesema mtandao uko down 2g sidhani kama eneo hilo litapandishaga speed
Mbna hapo ni mtihani ssChangamoto ya voda ni moja vifurush vyao vya internet bei yake kubwa harafu unapewa Gb ndogo kama hapa natakiwa ni download kitu chenye GB 60 ambapo kwa voda mpaka niwe na zaid ya lak 1 ndio nitapat hicho kifurush cha GB60 wakat halotel ni kwa 1500 una achiwa usiku kucha kwa hyo inshort voda ina gharama sanaa kama ningepata ujuz wa kupata ma GB meng kwa voda ningeenda nunua hata kesho
Lipia cha elfu 3_gb3 kwa week VodacomChangamoto ya voda ni moja vifurush vyao vya internet bei yake kubwa harafu unapewa Gb ndogo kama hapa natakiwa ni download kitu chenye GB 60 ambapo kwa voda mpaka niwe na zaid ya lak 1 ndio nitapat hicho kifurush cha GB60 wakat halotel ni kwa 1500 una achiwa usiku kucha kwa hyo inshort voda ina gharama sanaa kama ningepata ujuz wa kupata ma GB meng kwa voda ningeenda nunua hata kesho
Umemshaurije?Mbna hapo ni mtihani ss
Alipe elfu 60 ili apate hiyo fanya hesabuGb3 wakati anashida na gb 60?!
Sasa kwa maisha gani niliyo nayo kama hakuna njia hapa nikurud tu nyumban
Mbna hapo ni mtihani ss
Usilalamike sana mkuu ukiona gharama sana unaachana nayo, sema cha kufanya jaribu mitandao mingene kuna cha ttcl sajilia line na kitambulisho cha kazini kwako upate Gb za kutosha wana offa kwa wafanyakazi, haya changamkaSasa kwa maisha gani niliyo nayo kama hakuna njia hapa nikurud tu nyumban
Hebu nipe maujuz hzo booster zinakuwaje na bei zake zina range vp????Mkuu, kama mfuko wako hausumbui, ingia Ali Express kuna Booster zitakusaidia sana kwa hilo.
Usilalamike sana mkuu ukiona gharama sana unaachana nayo, sema cha kufanya jaribu mitandao mingene kuna cha ttcl sajilia line na kitambulisho cha kazini kwako upate Gb za kutosha wana offa kwa wafanyakazi, haya changamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipe maujuz hzo booster zinakuwaje na bei zake zina range vp????
LINTRATEK Signal Booster. Ingia Ali Express