Wanajamii habari zenu, kuna mdau anatafuta matokeo ya mwaka 2002 amesahau namba yake ya mtihani, anaweza yapata wapi? Yuko mbali na shule aliyosomea, je akiingia mtandaoni anaweza kuyapata? Naombeni msaada kwa anayejua tafadhali!
Kwenye mtandao matokeo ya NECTA ya ACSEE,CSEE yameanza kuwekwa ya 2005-kuendelea.mwaka 2004 pia yapo ya CSEE ila si shule zote.nyuma ya mwaka 2004 hupati matokeo yoyote kwa uhakika.
Kwenye mtandao matokeo ya NECTA ya ACSEE,CSEE yameanza kuwekwa ya 2005-kuendelea.mwaka 2004 pia yapo ya CSEE ila si shule zote.nyuma ya mwaka 2004 hupati matokeo yoyote kwa uhakika.
Asante mwafrikamtanzania, nimekuelewa kwa uzuri sana, nilijaribu kufanya km walivyoshauri wanajf wengine sikuona, nimekuelewa, thnx alot, nitamuelewesha muhusika!