Msaada Wa kupata iOS 7 ya apple ipad

Msaada Wa kupata iOS 7 ya apple ipad

hexacyanoferrate

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2014
Posts
1,232
Reaction score
792
Nimepata iPad aina ya apple kutoka kwa MTU,kuna program nyingi muhimu nikizidownload inaniomba ni update ios7,he nitaipataje hii window?naomba mnisaidie.
 
ku update ni lazima uwe kwenye wi fi network,then unaenda settings>general>software update.ina ukubwa kama 1.2gb so intakiwe uwe na kifurushi cha kutosha,remind you;lazima uwe kwenye wi fi
 
Wandugu kabla yakumpa ushauri mngemuuliza ni ipad gani! Maana isijekuwa ni ipad one kwani yenyewe mwisho ni ios 5.1.1
 
Back
Top Bottom