KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Mar 11, 2020 #1 Wakuu nina kamradi nataka kukaanzisha, naomba mwenye draft/sample ya mkataba wa mlinzi tafadhali, aniwekee hapa tafadhali.
Wakuu nina kamradi nataka kukaanzisha, naomba mwenye draft/sample ya mkataba wa mlinzi tafadhali, aniwekee hapa tafadhali.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Mar 11, 2020 #2 Weka kampuni achana na mtu personal
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Mar 11, 2020 Thread starter #3 Hazchem plate said: Weka kampuni achana na mtu personal Click to expand... Asante mkuu! Nilifikiria hilo, ila nikahisi bei itakua kubwa, na biashara ni changa sana.
Hazchem plate said: Weka kampuni achana na mtu personal Click to expand... Asante mkuu! Nilifikiria hilo, ila nikahisi bei itakua kubwa, na biashara ni changa sana.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,625 Reaction score 65,100 Mar 11, 2020 #4 Changia kidogo nikutengenezee mkataba