Nenda msikiti ambao shekh wake alifungisha ndoa yako upate maelekezo. Nachojua Mimi serikali inatoa vyeti kutegemea na unapofungia ndoa, so wewe utapewa cheti kupitia ndoa ya kidini.
Huko huko msikitini kaulize ukienda Rita wao hawafungishi ndoa na wilayani wewe hujafunga ndoa ya kiserikali