choosengeneration
New Member
- Aug 8, 2019
- 1
- 0
kwa yeyote anaejua naomba anisadie nimwanafunzi nilihitim diplom mwaka huu shida nikwamba cjaweka kupata AVN kwa sababu detail zang hazionekani nacte nimeenda chuo wameniambia wameshindwa kuaply matokeo yang ya NTA4$5 kwa sababu mfumo umefungwa wa nyuma hivyo matokeo yangu ya NTA 6 hawawez kuweka kwa sababu detail zang za mwanzo hawakuweka mpka mfumo umefungwa nimeenda nacte wamesema niwaambie kuwa chuo waandike barua ya kuomba kapload matokeo lkn nimefikisha ujumbe chuo wamesema wameandika barua sana and no feedback from nacte.........sasa naona wananitia tu viswahili mwisho nikae home jamani naombeni mnisadie nifanye nn