Msaada wa kujua MTU aliyekupigia simu endapo ulikuwa umeizima

asaliv

Member
Dec 29, 2015
84
14
Nahitaji Msaada wa kutambua nani kanipigia pale nnapofungua simu yangu,mtandao wangu n wa vodacom, kwa anayefaham anijuze tafadhari:D
 
Wewe kawasiliane na voda wenyewe huku mbali Mbona?
 
Nahitaji Msaada wa kutambua nani kanipigia pale nnapofungua simu yangu,mtandao wangu n wa vodacom, kwa anayefaham anijuze tafadhari:D
Nikiwa karibu na pen ntakuandikia nambA
Ngoja embu bahatisha hii

Piga *0754125125# ikishindikana nicheck pm
 
Back
Top Bottom