mwananchi wa kawaida ni kama wewe apo unayeficha ID yako ili kujilinda, mnyonge ni yule anayepotea wiki akipatikana anakuwa amesahau alikokuwa na kilichomtokea
Inategemea.wengi watazani Ni kinyume Cha mtu tajiri..lakini sisi tunajua unaweza Kuwa na mihela na UKAWA mnyonge vile vile.ukaja kwetu sisi tunakuchukulia qa kawaida..sisi tunataka dunia iwe sehemu nzuri so tunafikiria Zaidi kuhusu utajiri wa roho