M Mangii Member Joined May 3, 2012 Posts 52 Reaction score 3 Jun 25, 2012 #1 Wana jamii habari nataka kuanzisha biashara ya kuuza Cement kwa anayejua bei ya cement kiwandani bei ya jumla,au kama kuna sehemu naweza pata kwa bei nzuri na mimi nije kupata angalao faida kidogo kwa anaye fahamu plz anisaidie
Wana jamii habari nataka kuanzisha biashara ya kuuza Cement kwa anayejua bei ya cement kiwandani bei ya jumla,au kama kuna sehemu naweza pata kwa bei nzuri na mimi nije kupata angalao faida kidogo kwa anaye fahamu plz anisaidie
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Jun 25, 2012 #2 location. . .uko wapi?
M Mangii Member Joined May 3, 2012 Posts 52 Reaction score 3 Jun 25, 2012 Thread starter #3 Don Mangi said: location. . .uko wapi? Click to expand... Mkuu niko Dar maeneo ya kitunda