Inakuletea kitu gani?Muamala haujafikisha hata masaa 24 ila ukienda hapo budget&history hakuna sehemu ya ku refund@wilcoxon
Hapo mkuu sijui inakuwaje, labda subiri michango mingine ya wadau.Inaleta hiviView attachment 2567685
Kawaida bana sema sivutiwi na huduma yao kwasasa ndomna nilikua nataa kujitoaNaona wanakuchanja kila leo kijana mpaka unajuta kwann ulijisajili kulipia hayo madudu [emoji28][emoji1474]
Hayo mambo special kwa watasha, sio sisi... tulia ulambe dawa [emoji1474]
Mostly huwa wanaficha hizo details za ku-unsubscribe. Vunja hiyo credit card nenda kwa banker akupe mpya. Hiyo ndo okoka yako.Wakuu habari weekend? Mimi sio mtu wa mitandaoni na sidhani kama nafahamu vitu vingi kuhusu hayo malipo yanavofanyika Google.
Kuanzia 2020 kuna App nilikua nalipia kila mwezi ili kupata kile ninachokihitaji kwao ila kwasasa App hii siihitaji tena na nilishaifuta siitumii.. nina kama miezi 10 siitumii ila cha ajabu ni kwamba kila mwezi wanakata pesa kwenye airtel money yangu bila ridhaa yangu wakati mimi siitumii hiyo App!
Msaada kwa anaefahamuwa kujiondoa ili wasiendelee kukata pesa zangu kila mwezi na kama kuna njia ya kufanya ili pesa zangu kurudishwa. Hapa muda huu wamekata pesa yaani hata sielewi kwann inakuwa hivi!!
Ni mwezi wa 7 huu kila wanakata tu na nikiwasiliana na airtel naona ubabaishaji hakuna msaada wa kueleweka.
Nimekua nikiwasiliana na airtel kuzuia pesa yangu kila wanapokata ila wao airtel wanatuma tu link et niende kuzuia mwenyewe na hawana msaada wowote lkn ukiingia huko kwenye link hakuna la maana ni ubabaishaji tu.
Kwa anae fahamu hebu anisaidie hapa[emoji120]
Alichokiandika jamaa na Mambo ya banker vinahusianaje?Mostly huwa wanaficha hizo details za ku-unsubscribe. Vunja hiyo credit card nenda kwa banker akupe mpya. Hiyo ndo okoka yako.
Mhusika kaelewa wewe pita hiviAlichokiandika jamaa na Mambo ya banker vinahusianaje?
Hakua mtandao wenye Customer care Mbovu kama Airtel, hawana msaada kabisaWakuu habari weekend? Mimi sio mtu wa mitandaoni na sidhani kama nafahamu vitu vingi kuhusu hayo malipo yanavofanyika Google.
Kuanzia 2020 kuna App nilikua nalipia kila mwezi ili kupata kile ninachokihitaji kwao ila kwasasa App hii siihitaji tena na nilishaifuta siitumii.. nina kama miezi 10 siitumii ila cha ajabu ni kwamba kila mwezi wanakata pesa kwenye airtel money yangu bila ridhaa yangu wakati mimi siitumii hiyo App!
Msaada kwa anaefahamuwa kujiondoa ili wasiendelee kukata pesa zangu kila mwezi na kama kuna njia ya kufanya ili pesa zangu kurudishwa. Hapa muda huu wamekata pesa yaani hata sielewi kwann inakuwa hivi!!
Ni mwezi wa 7 huu kila wanakata tu na nikiwasiliana na airtel naona ubabaishaji hakuna msaada wa kueleweka.
Nimekua nikiwasiliana na airtel kuzuia pesa yangu kila wanapokata ila wao airtel wanatuma tu link et niende kuzuia mwenyewe na hawana msaada wowote lkn ukiingia huko kwenye link hakuna la maana ni ubabaishaji tu.
Kwa anae fahamu hebu anisaidie hapa[emoji120]
Isingewezekana kwa sababu za kikanuni na biashara. Wao hawahusiki hata hawajui kama unatumia bado au la kikubwa hiyo sio bipartisan Sasa maana yeye Airtel ni third party.Na waonea bure ki vp? Wanatakiwa warudishe pesa au wazuie sasa wenyewe hata kunisaidia tu namna ya kufanya ila wanaleta ubabaishaji