sasa hivi hizo simu unaweza unlock bootloader, kuna experiments nyingi sana watu wanazifanyia kama kuweka windows on arm (ambayo ni kama full pc), win rt, hizo android support unazosema na nyengine nyingi. sema bado zipo stage ndogo sana, itachukua muda mpaka ziwekwe kwenye mfumo wa mtu wa kawaida kuweza kufanya mwenyewe.