Babb-Babbjrtz Member Joined Feb 13, 2012 Posts 57 Reaction score 7 Mar 25, 2014 #1 Wadau naombeni msaada wenu , nataka kuiroot simu yangu ya HTC Desire HD, nataka kujua 1- Jinsi ya Kuiroot 2- Faida na Hasara Zake 3- Na kama kuna mtu ana Touch ya hii simu aniambie tuwasiliane.
Wadau naombeni msaada wenu , nataka kuiroot simu yangu ya HTC Desire HD, nataka kujua 1- Jinsi ya Kuiroot 2- Faida na Hasara Zake 3- Na kama kuna mtu ana Touch ya hii simu aniambie tuwasiliane.