Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Bila shaka hiyo itakuwa voxy au noah. Naitakuwa na engine ya 1az fse .engine ya d4 ambayo niugonjwa mkubwa sana hapa kwetu bongo kwa mafundi yetu??tatizo kubwa la engine hii ni mfumo wa mafuta hasa nozeli.hii engine haitaki kabisa mafuta ya kuchakachua ambayo kwa nchi yetu ni kama dawa vile lazima ukutane nayo 2
VIOO VYA NYUMA HAVIFUNGUKI, kwa hiyo si salama kwa familia yako aua abiriashukrani mkuu, zaidi ya mafuta ina tatizo lingine
VIOO VYA NYUMA HAVIFUNGUKI, kwa hiyo si salama kwa familia yako aua abiria
go for rav4 old model. you will never regretMkuu shukrani sana, ngoja niangalie utaratibu mwingine au kwa hapa bongo ni gari gani zuri la kununua, ukiangalia matumizi ya mafuta, barabara zetu, na familia zetu African family ili niwe napakia hata vizawadi vya mizigo pale ninaposafiri kwenda kijijini
Mkuu siyo zote zina engine ya d4 , unaweza kuangalia kwa kufungua bonet na kuangalia kibati chenye specifications za gari, ikiwa na d4 utaona kwenye kibati hicho usiwalishe wenzako sumuBila shaka hiyo itakuwa voxy au noah. Naitakuwa na engine ya 1az fse .engine ya d4 ambayo niugonjwa mkubwa sana hapa kwetu bongo kwa mafundi yetu??tatizo kubwa la engine hii ni mfumo wa mafuta hasa nozeli.hii engine haitaki kabisa mafuta ya kuchakachua ambayo kwa nchi yetu ni kama dawa vile lazima ukutane nayo 2
RAV 4 ndio jibu tu,labda km una familia kubwa ndio sijuiMkuu shukrani sana, ngoja niangalie utaratibu mwingine au kwa hapa bongo ni gari gani zuri la kununua, ukiangalia matumizi ya mafuta, barabara zetu, na familia zetu African family ili niwe napakia hata vizawadi vya mizigo pale ninaposafiri kwenda kijijini
Rav4 ya Gear ndio mpango mzimaRAV 4 ndio jibu tu,labda km una familia kubwa ndio sijui
RAV 4 kuna Manual na Automatic chagua yoyote
RAV 4 inaweza ingia rough road yoyote hata kupanda milima bila tatizo lakini NOAH haiwezi popote ila Onroad (Lami)
Mkuu siyo zote zina engine ya d4 , unaweza kuangalia kwa kufungua bonet na kuangalia kibati chenye specifications za gari, ikiwa na d4 utaona kwenye kibati hicho usiwalishe wenzako sumu
Mkuu shukrani sana, ngoja niangalie utaratibu mwingine au kwa hapa bongo ni gari gani zuri la kununua, ukiangalia matumizi ya mafuta, barabara zetu, na familia zetu African family ili niwe napakia hata vizawadi vya mizigo pale ninaposafiri kwenda kijijini
Rav4 ya Gear ndio mpango mzima
Nilikuwa na maana ya manual sio ya kike kama hiyo yakoHivi kuna Rav 4 ambayo haina gear?
Nilikuwa na maana ya manual sio ya kike kama hiyo yako
tafuta passo kwani huko tunapoelekea wese litakua halishikiki