Msaada wa kuhamia Kilakala Secondary School

benitoc

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
48
Reaction score
15
Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
 
Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane

Ni PM nikupe namba ya mwalimu wa pale yeye atakupa ABC
 
Hawezi kuhamia hiyo ni special school
Labda kama anatoka special nyingine i.e tabora girls na msalato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…