Msaada wa kuhama faculty

Innocentinno

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
354
Reaction score
312
Kuna rafiki yang kachaguliwa "bachelor of education in commerce&accountancy" pale mzumbe Lkn hajaipenda alikuwa anataka "bachelor of accounting in business sector",kuna uwezekano wa kubadil na akibadil mkopo so anaweza akapunjwa au? .Nawasilisha wana JF.
 
Kwani Bachelor of education in commerce&book keeping.mkopo unapata au hupati?maana kwenye admission book,imeandikwa mkopo non priority
 
Mkopo anapata kama kawaida kama alishapewa na ikiwa anabadilisha kozi ndani ya chuo hicho hicho!! Ila utambue bodi hupata taarifa ya kozi unayosoma (muda) na hivyo hupanga kiasi cha mkopo mpaka pale unapomaliza! Sasa basi, we kama kozi yako ya awali ilikuwa miaka 3 basi fanya exchange na kozi ya miaka 3 ili kama unategemea mkopo usije teseka baadaye, kwa maana kama ulichaguliwa kozi y miaka 3 na ukapata mkopo kisha wewe ukaamua kubadilisha kozi na kuchagua kozi ya miaka 4 basi huo mwaka wa nne utakuhusu kwa kila kitu!! Hayo niliyaona nilipokuwa St Augustine University of Tanzania -Mwanza Campus, sijui kwingineko, ila pia naamini kwamba Bodi ya Mikopo wanaruhusu!!

:bowl:Nimewasilisha!!!:A S-cry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…