Msaada wa kuhama chuo

Msaada wa kuhama chuo

aggrey kimambo

Senior Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
129
Reaction score
142
Wakuu salaam, mdogo wangu amechaguliwa chuo ambacho ni chaguo lake la mwisho, je kuna uwezekano wa yeye kuhama chuo? Na je kama upo utaratibu wake unakuwaje?
 
Lakini si alichagua mwenyewe kwanini anataka kuhama tena
 
kujazajaza chuo kwa misingi ya kujazia tu vifike vitano ndo sasa kunakuja kuwaponza watu uwezekano upo lakini ni kwa kiasi kidogo sana maana kupata transfer ya chuo mpaka upate nafasi ktk chuo anachotaka kuhamia tembelea tovuti ya TCU tcu.go.tz chukua mawasiliano, wasiliana nao
 
subr dirisha la transfer tcu wakifungua wataweka vyuo ambavyo vina nafasi na kozi pia ila inabidi ulipie then utachagua kozi nyingine chuo kingine kama iko eligble na iyo kozi basi utafanikiwa transfer yako ila akikisha una vigezo vya iyo kozi unayotaka kwenda chuo kingine
 
Back
Top Bottom