Msaada wa kufungua akaunti ya Twitter

Msaada wa kufungua akaunti ya Twitter

namba force

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
758
Reaction score
434
Habar wataalam!

Nimejaribu kufungua akaunti ya twitter na ikifika sehemu ya kuweka kodi nayotumiwa kwa sms au email inagomea hapo hapo. Naomba msaada wap nakwama?
 
... twetter? Ndio kitu gani hicho?
 
Habar wataalam!!! Nimejaribu kufungua akaunti ya twitter na ikifika sehemu ya kuweka kodi nayotumiwa kwa sms au email inagomea hapo hapo. Naomba msaada wap nakwama???
1. Unatumia VPN?
2. Unapata ujumbe gani hapo unaposema "inagoma"?
3. Unaweza kuweka screenshot hapa?
 
1. Unatumia VPN?
2. Unapata ujumbe gani hapo unaposema "inagoma"?
3. Unaweza kuweka screenshot hapa?
Yaani ukishaingiza kodi wanazokutumia inakurudisha mwanzo tena
 
Followers Wa Kigogo2014 Wanazidi Kuongezeka
 
Tumia voda kwa ajili ya verification codes
Airtel na halotel wameblock Twitter sms kwaiyo zikitumwa hazifiki......
 
Sion option ya kuweka code ya tzee twitter msaada jaman au ndo elon ametukata
 
Back
Top Bottom