GodwinOuko
New Member
- Apr 1, 2025
- 1
- 0
Habari wadau,
Naomba kuuliza kwa aliefanikiwa kufungua akaunti Exim bank kupitia simu anisaidie.
Maana mimi nimedownload app yao lakini kufungua akaunti imekuwa kimbembe.