S spleeingiant Senior Member Joined Oct 24, 2016 Posts 138 Reaction score 45 Aug 19, 2017 #1 Wakuu naombeni msaada wa kuformat flash aina ya samsung ina ukubwa wa 64GB na kila nikiweka kwenye pc inataka ni format nikifornat inagoma.
Wakuu naombeni msaada wa kuformat flash aina ya samsung ina ukubwa wa 64GB na kila nikiweka kwenye pc inataka ni format nikifornat inagoma.
i411 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 906 Reaction score 297 Aug 20, 2017 #2 Namimi nahaka katatizo na flash ya hp 64gb sijui nifeki manake nilinunua kwa mmachinga 5000 lakini ilikuwa na nyimbo na movie nikatumia tumia wiki tuu ikaanza zingua
Namimi nahaka katatizo na flash ya hp 64gb sijui nifeki manake nilinunua kwa mmachinga 5000 lakini ilikuwa na nyimbo na movie nikatumia tumia wiki tuu ikaanza zingua