mkuu mi mbona naona hii offfice 2013 ndo iko poa zaid hasa kwa outlook kuliko hata version zilizopita...na settings zake ni rahisi..mi ndo natumia hii version kwa email zangu zooote...kuanzia za kiofisi hadi za kina yahoo bure tu..tatizo inategemea na email server gani unataka kuset...mf yahoo, hotmail, au hizi za .co.tz...??