Nimekwama kidogo kuconfigure java development kit kwenye machine.Tiyari nimesha install na kupitia cmd imeniakikishia kwamba ipo.
Tatizo ni kwamba nikitaka ku i run inakataa.
Kuirun kivipi? Hiyo ni development kit ambayo ina components muhimu za kusaidia program za java ziganye kazi pia zinasaidia katika development yako ya java apps so huwezi kuirun moja kwa moja bali unahitaji IDE yake.
Can you provide more information on how you use it and the error you are getting when you try to use it?
And unlike the previous comment you DON'T need an IDE to use it.