Msaada wa kubadilisha kaz serikalini

Ganaz Sc

Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
24
Reaction score
2
Habar wakuu,mm n mwalimu niliyeajiriwa mwaka huu (may 2015), lakn kabla ya ajira kutoka nilikua tayar nimefanya maomb mbalmbal ya kaz katka vyuo vkuu mbalmbal, sasa juz nmebahatka kuitwa kazni katka chuo mojawapo cha serkal as a tutorial assistant ,naomben ushaur wakuu hv mkurugenz(mwajr wa sasa) atanielewa kwel ? au nianzie wapi hapo?
 
atakuelewa bz una maamuzi ya kufanya unaajiriwa wapi? Tena ni rahsi bz ni kazi za gvt. La muhmu jiamini tu
 
atakuelewa bz una maamuzi ya kufanya unaajiriwa wapi? Tena ni rahsi bz ni kazi za gvt. La muhmu jiamini tu

asante kwa kunipa moyo ,ila mm nishaamua kufanya hii kaz mpya niliyoipata
 
unatoa taarifa kwa mkurugenzi plus tamisemi then unaendelea na check number yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…