Nimechaguliwa kuspoma certificate in accountancy Arusha (IAA), napenda kubadilsha kusoma certificate in Law Lushoto. Nifanyeje , Je inawezakana, if so nitumie taratibu gani kubadilisha.
Katika updates mbalimbali walizotoa nacte walisema "kwa wale wanaotaka kubadilisha vyuo na koz wasubirie mpaka second selection zitoke watatoa taratibu juu ya watu wenye matatizo kama yako.