Habari wana JF
Miongoni mwa mambo yanayotukosesha ajira baadhi yetu ni kushindwa kuandika CV. Sasa basi hebu mwenye uwezo huo wa kuiandika ikiwa na vitu vyote muhimu aweke humu tufaidike sote.
Itakuwa faaja Sana kama utatoa msaada wako ili kuwakwamua walioshindwa.
Aidha kama unayo Unaweza pia kunitumia kwa WhatsApp Namba 0763769886.
Ahsante Sana!!!
Nakupenda Sana Mama Yangu
Mazingatio juu ya uandishi wa CVHabari wana JF
Miongoni mwa mambo yanayotukosesha ajira baadhi yetu ni kushindwa kuandika CV. Sasa basi hebu mwenye uwezo huo wa kuiandika ikiwa na vitu vyote muhimu aweke humu tufaidike sote.
Itakuwa faraja Sana kama utatoa msaada wako ili kuwakwamua walioshindwa.
Aidha kama unayo Unaweza pia kunitumia kwa WhatsApp Namba 0763769886.
Ahsante Sana!!!
Nakupenda Sana Mama Yangu
Sio kila degree wanasoma "business communication"!! binafsi alevo wala chuo kikuu sijafundishwa kuandika CV, Nimejifunza mwenyewe!!POLE SANA MKUU
CHUO ULICHOSOMA 'BUSINESS COMMUNICATION' NI COURSE YA HIYARI?
A LEVEL HATA GS ULIPUUZA?
HATA MITANDAO MBALIMBALI INAKUPITA? POLE
Acha kulaumu wew muelekeze mwenzako kaomba msaadaPOLE SANA MKUU
CHUO ULICHOSOMA 'BUSINESS COMMUNICATION' NI COURSE YA HIYARI?
A LEVEL HATA GS ULIPUUZA?
HATA MITANDAO MBALIMBALI INAKUPITA? POLE
Sio kila degree wanasoma "business communication"!! binafsi alevo wala chuo kikuu sijafundishwa kuandika CV, Nimejifunza mwenyewe!!
Mmmh hii bado sana haijakaa vizuri kwenye experience hapo..
Umenichekesha sana daaah!! FYI hamna kipindi nimewahi kukosa nikiwa mzima wa afya.Wakat wanafundishwa wenzio hayo Masomo Wewe ulikuwa Vibanda umiza unakamuanTwisheni Eti Core subject