BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Sep 6, 2015 #1 Habari zenu wakuu. Nimepitia beforward mtandaoni nimeipenda NOAH ambayo ni USD 700. Naomba msaada wa kujua gharama mpaka naliweka ndani hilo gari ni Tsh ngapi? Shukrani natanguliza.
Habari zenu wakuu. Nimepitia beforward mtandaoni nimeipenda NOAH ambayo ni USD 700. Naomba msaada wa kujua gharama mpaka naliweka ndani hilo gari ni Tsh ngapi? Shukrani natanguliza.
K katalyo Member Joined Aug 21, 2014 Posts 77 Reaction score 7 Sep 6, 2015 #2 select destination country ili upate c i f au c n f yake ndo utajua bei hadi dar hiyo 700 ni bei ya japanni
select destination country ili upate c i f au c n f yake ndo utajua bei hadi dar hiyo 700 ni bei ya japanni