hii kweli kali,
naomba tumsaidie huyu ndugu yetu aliekosa raha na amani ya kuishi duniani.
kuna mdada alimtokea akakubali sasa kila siku zinavyoenda ni kupigiwa simu na msg na huyo dada yaani hampi nafasi ya kupumua!inatokea dem anafanyia hadi ziara za kushtukiza magetoni kwa jamaa.jamaa imefikia hapokei simu yke wala hajibu msg anachotaka dem achoke tu maana yeye haitaji kuwa na mwanamke sasahivi!
kila wkt dem akija jamaa hamfungulii mlango lbd atakata tamaa lakini wapi dem analala hadi nje kusubiri jamaa huku akilia!jamaa anatamani hata kuhama lakini ndio kodi kashalipa ya mwaka.
ana wakati mgumu afanyaje maana anaona maisha yke yanakuwa magumu sbb y huyu manzi kupe.
kama kuna aliewahi kukutana na hii embu alete maujanja jinsi kuepuka makupe km huyu manzi
Ok, hayo ndio makandokando ya kupiga mzigo avumilie tu.ni kwamba anataka kupiga mzigo tu hataki mahusiano.ieleweke hivyo
jamani vituko haviishi duniani!!! alikuwa anabipu hahahaaaSasa Kwa nn alimtongoza?
Haaaa alijaribu kubipu na now anapigiwa tuMajibu ya mtu huonyesha uhalisia wake
Mwambie huyo jamaa avumilie tuu alipanda mahindi asitegemee kuvuna maharage apambane na hali yake
Mimi huwa napenda mabinti wajasiri kama hao hapo hajaolewa ila anaweza hata kwenda kushtaki ustawi wa jamii ili apate haki yakeHaaaa alijaribu kubipu na now anapigiwa tu
Aisee hiyo hatari sana
demu wa watu kanogewaAKOME TABIA YA KUZAMA CHUMVINI
ANAZAMIA KWA WENGINE HAWAJAWAHI FANYIWA HIVO TANGU KUZALIWA KWAO
SASA WAKING'ANG'ANIWA WASILAUMU
demu wa watu kanogewa