Je waungwana kuna njia mbadala ya ku-unlock samsung s5300(android) imeji-lock baada ya kuingizwa alama za siri za uongo mara nyingi?
Simu inataka email na password ya Gmail ili ifinguke ila mtumiaji amezisahau