Msaada wa ku-unlock modem

Msaada wa ku-unlock modem

selebob

Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Habari zenu waheshimiwa, nilikua naomba msaada wa ku-unlock modem ya kampuni ya ZTE k3772-z. Inatumia laini ya vodacom peke yake.
 
habari zenu waheshimiwa. nilikua naomba msaada wa ku unlock modem ya kampuni ya ZTE k3772-z. inatumia laini ya vodacom peke yake
Tembelea dc unlocker website bei ya ku Unlock ni around 8$

And No alternative
 
Asalaam ...

Haijalishi ni number ipi .... kizuizi kiko kwenye vodacom connection manager.

Si kila solution ni dc unlocker.

As a great thinker there is an alternative .....

Modem nyingi za vodacom hazina zuio la kubadili simcard. Kinachoonekana ni ujumbe kutoka connection manager kutokuwa na taarifa za mitandao mingine..

Jaribu hii simple trick...

Modem manufacture and model type does not matter!!!

Wasalaam...
 
This is completely a new modem watu mm nakwambia hivo sababu niliwai nunua hiyo modem nkijiaminisha itatoka Lock kwa kubadilisha Connection manager au ku connect kupitia network adapters...Unachokisema watu walishajaribu na hicho kitu hakiwezekani hiyo modem imewekewa security nyingine!

Hayo mambo ya connection manager zilikua security za zamani with new releases hawawezi kubakiza security zile zile za kitoto!

Angalia hata Huawei zamani Unlock codes zilivokua rahisi ila chukua latest modem kama E3372h uone Algorithm walotumia ilivo very complex!
 
Habari zenu waheshimiwa, nilikua naomba msaada wa ku-unlock modem ya kampuni ya ZTE k3772-z. Inatumia laini ya vodacom peke yake.
hiyo modem ni kiboko nimecheza nayo sana nikakwama.. ila suluhu ni ku-unlock kwa dc unlock.. download dc unlock kuna sehemu ya ku-select model ya modem hiyo itatokea watakuambia na kiasi ni kwa njia ya online.. kwa hizi software zetu haufui dafu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom