uzewela Senior Member Joined Jul 29, 2020 Posts 135 Reaction score 296 Jun 17, 2021 #1 Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye kujua namna ya ku unlock iPhone 8 ni ya marehemu brother angu. Hakuna anaejua password zaidi yake. RIP
Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye kujua namna ya ku unlock iPhone 8 ni ya marehemu brother angu. Hakuna anaejua password zaidi yake. RIP
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,590 Reaction score 60,796 Jun 17, 2021 #2 RIP bro wetu ila kama sio kweli, uko hatarini kudakwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha
uzewela Senior Member Joined Jul 29, 2020 Posts 135 Reaction score 296 Jun 17, 2021 Thread starter #3 dronedrake said: RIP bro wetu ila kama sio kweli, uko hatarini kudakwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha Click to expand... Kweli bro, nitapata faida gani kwa kudanganya?
dronedrake said: RIP bro wetu ila kama sio kweli, uko hatarini kudakwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha Click to expand... Kweli bro, nitapata faida gani kwa kudanganya?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,163 Reaction score 184,884 Jun 17, 2021 #4 Poleni sana wafiwa...
A Allydasmartboy001 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2018 Posts 604 Reaction score 218 Jun 18, 2021 #5 uzewela said: Kweli bro, nitapata faida gani kwa kudanganya? Click to expand... Njoo PM tuonge biashara
uzewela said: Kweli bro, nitapata faida gani kwa kudanganya? Click to expand... Njoo PM tuonge biashara