Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Shughuli imeisha, ukiingia itune kuna mahali itataka icloud id na password.
Hapo hata FBI walishindwa.
Ushauri: mrudishie "uliyemuibia" na mwambie akupe angalau hela ya maji y kunywa au ipeleke kwa mafundi wainunue iwe kama spea ya kioo, betri nk.
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Kama ni simu ya kwako na una iClound account password, download iTunes halafu unganisha simu kwenye computer kisha utaiona simu yako kwenye iTunes, bonyeza kwenye "Restore iPhone" lakini hakikisha una internet yenye kasi na data isiyopungua 3.5GB
Kama ni yakwako lakini umeipata katika mazingira magumashi na huelewi credentials za iCloud fanya kuiuza kama scrapper kwa wadau wengine