Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Sasa wewe umeandika nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hunataka hirudi au ujue ilipo
"Sina uwakika kama nimekuelewa"
Kuna IT aliniambia hata uji change imei itasoma tuu. Na itaonesha imei mpya na hapo unakamatwa tuuHakuna uwezekano huo mkuu maana kariako wamesha kuwa wajanja yaani wana futa kila kitu mpaka IMEI hivyo huwezi ipata kirahisi na kwa sasa wakiziiba hawa tumii mpaka wazibadilishe , yaani bongo ukiziba mlango wa kutokea wao wanatoboa ukuta , kumbe kama unasimu yako baszi jihadhari kuilinda vyema
Mhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama vipi nasikia hapo Tanga kuna waganga wa jadi hebu jaribu kuwaona hao "wataalamu"
Duh watu wako vizurKuna IT aliniambia hata uji change imei itasoma tuu. Na itaonesha imei mpya na hapo unakamatwa tuu
Hivi halotel yako haiko hewani siku hizi?Mhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heshima yako mkuu
Ipo mkuuHivi halotel yako haiko hewani siku hizi?
Hakuna uwezekano huo mkuu maana kariako wamesha kuwa wajanja yaani wana futa kila kitu mpaka IMEI hivyo huwezi ipata kirahisi na kwa sasa wakiziiba hawa tumii mpaka wazibadilishe , yaani bongo ukiziba mlango wa kutokea wao wanatoboa ukuta , kumbe kama unasimu yako baszi jihadhari kuilinda vyema
Umeandika nini hapo?Hunataka hirudi au ujue ilipo
"Sina uwakika kama nimekuelewa"
hivi yule majimarefu bado yupoKama vipi nasikia hapo Tanga kuna waganga wa jadi hebu jaribu kuwaona hao "wataalamu"
Una maanisha aliye mbunge wa Korogwe?hivi yule majimarefu bado yupo