Msaada wa ku-root Vodafone smart kicka VF685

Kowalski

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
348
Reaction score
111
Msaada kwa mwenye ujuzi wa ku-root simu tajwa hapo huu nimejaribu app kama

1) FRAMAROOT
2) KINGROOT
3)TOWELROOT

lakini imeshindikana
 
Tafuta software yake kwa google files za hiyo cm maana apps za kuroot siobure zinalipiwa
 
Jaribu hi I. Google framaroot 1.6.0 apk download harafu install
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…