Wakuu habari..
Nina flash disk yangu hapa TOSHIBA 16GB juzi kati nilimuazimisha rafiki yangu akapigie window.
Kwa bahati mbaya ilivyorudi kila nikiiweka kwenye PC inanambia
TO USE THIS DISK NEED TO FORMAT FIRST.
nikichagua hiyo option ya OK yani inaload hadi mwisho baadae naambiwa window imeshindwa kuitambua flash.
Nimejaribu kutumia njia ya CMD na disk management ya kubadilisha herufi pia imegoma yani hairudi kwenye hali ya kawaida.
Naombeni kwa wenye ujuzi zaidi wanisaidie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inagoma mkuu. Command promptdiskpart
list disk
select disk 1
clear
then go to disk manager kisha new partition
Okay tumia power iso
Okay tumia power iso
View attachment 1382213
Hilo ni janga, nimeshaua flash mbili kwa namna hiyo. Yaani inatakiwa uwe mstaarabu wakati wa kuitumia kwa kuweka windows au other OSs like linux. Unapoichomoa hakikisha computer yako imezimwa la sivyo utakuwa una.........kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Download hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k.
Kila la kheri.
Jaribu mkuu. Tembelea hapa pia Flash Drive Repair utapata pia tools za kuflash usb flash. Usbdev.ru mbali na kukupa flash tools, inakuelekeza jinsi ya kuzitumia.
Mkuu sio commercial software hii, maana nina tatizo kama hiliDownload hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k.
Kila la kheri.