Msaada wa ku-format smart phone

Msaada wa ku-format smart phone

Yusuph Wernery

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
316
Reaction score
147
Plz msaada mwenye maelekezo namna ya kufanya formating ya smartphone nimesahau patterns
 
Tecno lite w5
zime bonyeza volume up na power ikiwaka ikatokea logo ya tecno achilia power huku ukiendelea ku shikilia voule up. ikiwa kwenye recovery menu shuka hadi wipe data kwa kutumia volume keys na una bonyeza power kuchagua operation
 
bonyeza batan ya kuongezea sauti nakuzima simu kwa pamoja(simu ikiwa iko off) itakuja option ya ku fanya restoration then clik yes
itafuta kila kitu kilichopo kwenye simu na itakua kama ilivyokua mpya
 
Back
Top Bottom