namaanisha ni ngumu kujiajili wewe mwenyewe kwa mining ukiringanisha na pharmacy.
kumbuka kwenye mada mleta mada amepoint wazi kabisa suala la urahisi wa kupata ajila,kwangu nasema pharmacy ni rahisi kuajiliwa fulsa za mzawa kuajiliwa kwa pharmacy ni kubwa sana kuliganisha na mining.
pia mining industry nyingi/gas/fuel,zimechukuliwa na wageni ambao waajiliwa wengi wanawatoa nje ya nchi,
kama kungekuwa na sheria nzuri za kulinda/kutetea wazawa wapate ajira za kutosha kwenye mining/gas ingekuwa faraja sana.
ata wazawa wanaobahatika kuajiliwa uko(mining) mishahara yao ni midogo kulinganisha na waajiliwa toka nje ya nchi ata kama wote wana elimu inayolingana+experience.
lakini usipuuzie kitu rohoo yako inapenda kusomea