Msaada wa kozi kwa vyuo vya serikali

Msaada wa kozi kwa vyuo vya serikali

Greencolour

Senior Member
Joined
Feb 19, 2018
Posts
105
Reaction score
83
Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza
 
Mpeleke Veta cost zao ni ndogo mno. Yaweza mcost total laki 5 kwa mwaka(ada + hostel).
 
Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza

Mpeleke vyuo vya maendeleo ya jamii
Ada ni ndogo sana
Vilivyo chini ya wizara husika
 
Back
Top Bottom