Msaada wa kozi hizi za Engineering..

wee pumbuu kimswati sallam nyingi kwako mbwa ww ulinambia siwezi kuchaguliwa Udsm..
Na nmechaguliwa f**ww...
nakfundishaa uwe unawka na akiba ya maneno kwa kila unachokiongea ..Mazafantaz ww
Hahahaha... muonee huruma hato rudia tena huyoo...
 
jaza geology fasta mkuu...kama wakizingua malizia na agr engineering!!
 
Chagua Mechanical Engineering NIT dogo hutajutia chaguo lako, hata Agriculture Engineering ipo vizuri, maana ndio mtakua wapili kusoma hiyo UDSM
simshauri mleta mada ajaze NIT. hiki chuo si kila siku watu wanalalamika humu? mara ela ya field mara madarasa hmna
 
jaza geology fasta mkuu...kama wakizingua malizia na agr engineering!!
Mkuuu nmechaguliwa UDSM mechanical engineering ilaa SKU ambayo nliandkaa huo uzii TCU walinmbia sijachaguliwa first round ...
Nashangaa juzi majina ya Udsm yametoka kwa first round na mimi nimo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…