Itakuwa vyema ukisema program ulizoomba mara ya kwanza kwa sababu napata maswali kichwani mwangu yafuatayo; kama wewe una one ya 9, inamaana cut off point 9 au 10 kwenye masomo matatu. Hizo program umetaja zina nafasi zimebaki, je kwanini wewe umekosa katika hizo na minimum ilikuwa ni point 4 kwenye masomo mawili?