M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,789 Mar 10, 2014 #1 habari. Nataka kuagiza gari mark II Gx 110 ya mwaka 2001 cc 2480. CIF hadi dar ni dollor 2070. je kodi itanighalimu sh ngapi. kwa wataalam wa kodi naomba msaada please. Je kati ya Gx 100 na Gx 110 ipi ninzuri kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani.
habari. Nataka kuagiza gari mark II Gx 110 ya mwaka 2001 cc 2480. CIF hadi dar ni dollor 2070. je kodi itanighalimu sh ngapi. kwa wataalam wa kodi naomba msaada please. Je kati ya Gx 100 na Gx 110 ipi ninzuri kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani.